Swali: Ni bora kwangu kujihijia mwenyewe au nimhijie baba yangu ambaye ameshakufa lakini aliwahi kuhiji?

Jibu: Ikiwa umeshajihijia mwenyewe hijjah ya kwanza kinachotakikana ni wewe kujihijia hijjah iliyopendekezwa baada ya faradhi kisha baada ya hapo ndio umhijie baba yako.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (18) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-11-13.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020