Swali: Ni bora kwangu kujihijia mwenyewe au nimhijie baba yangu ambaye ameshakufa lakini aliwahi kuhiji?
Jibu: Ikiwa umeshajihijia mwenyewe hijjah ya kwanza kinachotakikana ni wewe kujihijia hijjah iliyopendekezwa baada ya faradhi kisha baada ya hapo ndio umhijie baba yako.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (18) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-11-13.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Ni bora kwangu kujihijia mwenyewe au nimhijie baba yangu ambaye ameshakufa lakini aliwahi kuhiji?
Jibu: Ikiwa umeshajihijia mwenyewe hijjah ya kwanza kinachotakikana ni wewe kujihijia hijjah iliyopendekezwa baada ya faradhi kisha baada ya hapo ndio umhijie baba yako.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (18) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-11-13.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/nijihijie-mwenyewe-au-nimhijie-babangu/