Nifanye nini ili nisitende dhambi?

Swali: Nifanye nini ili nisifanye madhambi?

Jibu: Mche Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) na waepuke watu wa shari, matangamano na watu wa shari na chaneli za TV au tovuti za intaneti za shari. Jiepushe nayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14331228.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015