Swali: Nikiswali sunnah ya Raatibah na mwishoni nikakumbuka jambo ambalo linahitajia mimi kuswali swalah ya Istikhaarah – je, inafaa katika hali hiyo kuomba du´aa ya Istikhaarah au ni lazima kunuia jambo hilo kabla ya kuanza swalah yangu?
Jibu: Ni lazima kunuia jambo hilo kabla ya kuanza swalah yako.
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 186
- Imechapishwa: 04/07/2022
Swali: Nikiswali sunnah ya Raatibah na mwishoni nikakumbuka jambo ambalo linahitajia mimi kuswali swalah ya Istikhaarah – je, inafaa katika hali hiyo kuomba du´aa ya Istikhaarah au ni lazima kunuia jambo hilo kabla ya kuanza swalah yangu?
Jibu: Ni lazima kunuia jambo hilo kabla ya kuanza swalah yako.
Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 186
Imechapishwa: 04/07/2022
https://firqatunnajia.com/nia-ya-istikhaarah-mwishoni-mwa-swalah-ya-raatibah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)