Swali: Je, kunahitajika kuweka nia kabla ili ifae kwa mtu kukusanya swalah?

Jibu: Ndio, ikiwa ataichelewesha, basi ni kwa nia.

Swali: Wakati wowote anapotaka kuswali?

Jibu: Ni mamoja ameitanguliza mbele, ameichelewesha au baina ya nyakati hizo mbili.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31542/هل-تشترط-النية-للجمع-بين-الصلاتين
  • Imechapishwa: 01/11/2025