Swali: Ipi hukumu ya kuweka nia ya swawm na lini inakuwa?
Jibu: Ama swawm ya wajibu kuweka nia ni sharti ili swawm yako ikubaliwe. Na inakuwa wakati wowote wa usiku. Ama swawm iliyopendekezwa, kuweka nia ni sharti ya kukamilika, yaani imependekezwa. Na inakuwa wakati wowote wa usiku pia.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali: Ipi hukumu ya kuweka nia ya swawm na lini inakuwa?
Jibu: Ama swawm ya wajibu kuweka nia ni sharti ili swawm yako ikubaliwe. Na inakuwa wakati wowote wa usiku. Ama swawm iliyopendekezwa, kuweka nia ni sharti ya kukamilika, yaani imependekezwa. Na inakuwa wakati wowote wa usiku pia.
Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/nia-juu-ya-funga-ya-ramadhaan-na-swawm-za-sunnah/