Swali 5: Ni zipi sharti za kusihi katika utekelezaji wa Hajj na ´Umrah?
Jibu: Sharti za kusihi ni:
1 – Uislamu.
2 – Kufikia baleghe.
3 – Kuwa na akili timamu.
4 – Kuwa huru kwa mtazamo wa baadhi ya wanazuoni.
Sahihi ni kwamba uhuru si sharti la kusihi na kwamba mtumwa akihiji, basi hajj yake inasihi ikiwa bwana wake amempa ruhusa. Kwa sababu kuondoka kwa wajibu kwa mtumwa si kwa sababu ya hali iliyo ndani yake, bali ni kwa kuwepo kizuizi, nacho ni kushughulika kwake na kumtumikia bwana wake. Hivyo ikiwa bwana wake amemruhusu, basi hajj inakuwa wajibu kwake na yenye kusihi.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/17-18)
- Imechapishwa: 08/05/2026
Swali 5: Ni zipi sharti za kusihi katika utekelezaji wa Hajj na ´Umrah?
Jibu: Sharti za kusihi ni:
1 – Uislamu.
2 – Kufikia baleghe.
3 – Kuwa na akili timamu.
4 – Kuwa huru kwa mtazamo wa baadhi ya wanazuoni.
Sahihi ni kwamba uhuru si sharti la kusihi na kwamba mtumwa akihiji, basi hajj yake inasihi ikiwa bwana wake amempa ruhusa. Kwa sababu kuondoka kwa wajibu kwa mtumwa si kwa sababu ya hali iliyo ndani yake, bali ni kwa kuwepo kizuizi, nacho ni kushughulika kwake na kumtumikia bwana wake. Hivyo ikiwa bwana wake amemruhusu, basi hajj inakuwa wajibu kwake na yenye kusihi.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/17-18)
Imechapishwa: 08/05/2026
https://firqatunnajia.com/ni-zipi-sharti-za-kusihi-katika-utekelezaji-wa-hajj-na-umrah/