Swali 3: Je, wajibu wa hajj ni wa kutekelezwa mara moja tu au unaweza kucheleweshwa?
Jibu: Sahihi ni kwamba hajj ni wajibu wa kutekelezwa mara moja. Haijuzu kwa mtu ambaye ana uwezo wa kuhiji Nyumba Tukufu ya Allaah kuchelewesha. Vivyo hivyo wajibu zote za Kishari´ah, ikiwa hazikufungamanishwa na wakati maalum au sababu fulani, basi ni wajibu kuzitekeleza mara moja.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/13)
- Imechapishwa: 08/05/2026
Swali 3: Je, wajibu wa hajj ni wa kutekelezwa mara moja tu au unaweza kucheleweshwa?
Jibu: Sahihi ni kwamba hajj ni wajibu wa kutekelezwa mara moja. Haijuzu kwa mtu ambaye ana uwezo wa kuhiji Nyumba Tukufu ya Allaah kuchelewesha. Vivyo hivyo wajibu zote za Kishari´ah, ikiwa hazikufungamanishwa na wakati maalum au sababu fulani, basi ni wajibu kuzitekeleza mara moja.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/13)
Imechapishwa: 08/05/2026
https://firqatunnajia.com/kuhiji-haraka-mtu-anapokuwa-au-inafaa-kuchelewesha/