Swali: Leo kuna ugumu wa kupata fariki asiyekuwa na chakula cha siku. Nimeona katika jumuiya moja ar-Riyaadh wengi wanaopokea Zakaat-ul-Fitwr ni watu walio na chakula cha mwezi au mwaka mzima. Je, inafaa watu kama hawa kuwapa Zakaat-ul-Fitwr?
Jibu: Hakuna yeyote aliyesema kuwa Zakaat-ul-Fitwr hapewi isipokuwa yule asiyekuswa na chakula cha mchana au usiku mzima. Hakuna yeyote aliyesema hivi. Zakaat-ul-Fitwr anapewa fakiri. Fakiri ni yule asiyekuwa cha cha kumtosheleza kwa muda wa mwaka. Huyu ndiye fakiri. Huyu ndiye anayepewa Zakaat-ul-Maal na Zakaat-ul-Fitwr. Wale walioshurutishiwa kuwa na chakula cha mchana na usiku mzima ni wale wanaostahiki kutoa na si wale wanaostahiki kupokea.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/4586
- Imechapishwa: 20/06/2017
Swali: Leo kuna ugumu wa kupata fariki asiyekuwa na chakula cha siku. Nimeona katika jumuiya moja ar-Riyaadh wengi wanaopokea Zakaat-ul-Fitwr ni watu walio na chakula cha mwezi au mwaka mzima. Je, inafaa watu kama hawa kuwapa Zakaat-ul-Fitwr?
Jibu: Hakuna yeyote aliyesema kuwa Zakaat-ul-Fitwr hapewi isipokuwa yule asiyekuswa na chakula cha mchana au usiku mzima. Hakuna yeyote aliyesema hivi. Zakaat-ul-Fitwr anapewa fakiri. Fakiri ni yule asiyekuwa cha cha kumtosheleza kwa muda wa mwaka. Huyu ndiye fakiri. Huyu ndiye anayepewa Zakaat-ul-Maal na Zakaat-ul-Fitwr. Wale walioshurutishiwa kuwa na chakula cha mchana na usiku mzima ni wale wanaostahiki kutoa na si wale wanaostahiki kupokea.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/4586
Imechapishwa: 20/06/2017
https://firqatunnajia.com/ni-wapi-wanaostahiku-kutoa-na-kupokea-zakaat-ul-fitwr/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket