Swali: Niliingia msikitini na imamu ndio punde ameinuka kutoka kwenye Rukuu´ ambapo nikasema “Allaahu Akbar” kisha nikarukuu na kukamilisha swalah yangu pamoja na imamu na nikatoa salamu. Ni kipi kinachonilazimu?
Jibu: Ni lazima kwako kuirudi swalah yako mwanzo. Hakuiwahi Rukuu´. Mwenye kupitwa na Rukuu´ basi amekwishapitwa na Rak´ah. Mwanamke huyu – kwa mujibu wa swali lake – hakuswali swalah kamilifu. Kwa sababu Rak´ah ambayo hakuwahi Rukuu´ yake hakuiwahi. Ni wajibu kwake kuirudi swalah yake.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (44) http://binothaimeen.net/content/1011
- Imechapishwa: 20/01/2019
Swali: Niliingia msikitini na imamu ndio punde ameinuka kutoka kwenye Rukuu´ ambapo nikasema “Allaahu Akbar” kisha nikarukuu na kukamilisha swalah yangu pamoja na imamu na nikatoa salamu. Ni kipi kinachonilazimu?
Jibu: Ni lazima kwako kuirudi swalah yako mwanzo. Hakuiwahi Rukuu´. Mwenye kupitwa na Rukuu´ basi amekwishapitwa na Rak´ah. Mwanamke huyu – kwa mujibu wa swali lake – hakuswali swalah kamilifu. Kwa sababu Rak´ah ambayo hakuwahi Rukuu´ yake hakuiwahi. Ni wajibu kwake kuirudi swalah yake.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (44) http://binothaimeen.net/content/1011
Imechapishwa: 20/01/2019
https://firqatunnajia.com/ni-wajibu-kwako-kuswali-upya-tena/