Swali: Ni wajibu kuchukua maji mapya kwa ajili ya kupangusa masikio wakati wa kutawadha?
Jibu: Hapana. Maoni sahihi ni kwamba yanatosheleza yale maji uliyopangusa kwayo kichwa. Yanatosha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340323.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Ni wajibu kuchukua maji mapya kwa ajili ya kupangusa masikio wakati wa kutawadha?
Jibu: Hapana. Maoni sahihi ni kwamba yanatosheleza yale maji uliyopangusa kwayo kichwa. Yanatosha.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340323.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/ni-wajibu-kuchukua-maji-mapya-wakati-wa-kupangusa-masikio/