Ni kitabu kipi cha Fiqh nitawafunza watu wa mji wangu wanaomfuata Maalik?

Swali: Ninataka kuwafunza watu wa mji wangu na familia yangu, ambao ni watu wasiokuwa wasomi, Fiqh. Ni kitabu kipi unapendekeza kwangu niwafunze mambo ya dini yao kwa kuzingatia ya kwamba wanafuata madhehebu ya Maalik?

Jibu: Chagua vitabu vifupi vya Maalikiyyah. Wadurusishe na wafunze vitabu vifupi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340323.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020