Swali: Vipi kwa mtu ambaye aliishi na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) lakini hakukutana naye?

Jibu: Huyu haitwi Swahabah, anaitwa Taabiy´. Mfano wa watu hao ni as-Swanaabhiy na Ka´b al-Ahbaar. Hawa wanaitwa Taabi´uun, ijapokuwa waliishi wakati wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), hata hivyo hawakukutana naye. Alifariki na hawakumkuta.  Walifika Madiynah baada ya kufariki kwake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31288/هل-يكون-صحابيا-من-ادرك-النبي-ولم-يلقه
  • Imechapishwa: 18/10/2025