Inaposemwa mpokezi fulani ni mfanya hadaa

Swali: Nini maana ya kufanya hadaa (التدليس)?

Jibu: Kufanya hadaa ni mpokezi kusema kuwa amepokea kutoka kwa fulani ilihali hakusikia kutoka kwake wala kukutana naye. Huku ndio kufanya hadaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31292/ما-معنى-التدليس-في-رواية-الحديث
  • Imechapishwa: 18/10/2025