Swali: Vipi kwa mtu ambaye aliishi na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) lakini hakukutana naye?
Jibu: Huyu haitwi Swahabah, anaitwa Taabiy´. Mfano wa watu hao ni as-Swanaabhiy na Ka´b al-Ahbaar. Hawa wanaitwa Taabi´uun, ijapokuwa waliishi wakati wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), hata hivyo hawakukutana naye. Alifariki na hawakumkuta. Walifika Madiynah baada ya kufariki kwake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31288/هل-يكون-صحابيا-من-ادرك-النبي-ولم-يلقه
- Imechapishwa: 18/10/2025
Swali: Vipi kwa mtu ambaye aliishi na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) lakini hakukutana naye?
Jibu: Huyu haitwi Swahabah, anaitwa Taabiy´. Mfano wa watu hao ni as-Swanaabhiy na Ka´b al-Ahbaar. Hawa wanaitwa Taabi´uun, ijapokuwa waliishi wakati wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), hata hivyo hawakukutana naye. Alifariki na hawakumkuta. Walifika Madiynah baada ya kufariki kwake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31288/هل-يكون-صحابيا-من-ادرك-النبي-ولم-يلقه
Imechapishwa: 18/10/2025
https://firqatunnajia.com/ni-taabiuun-si-maswahabah/