Ni sawa kuswali Isitikhaarah katika wakati uliokatazwa?

Swali: Je, swalah ya Isitikhaarah ni miongoni mwa swalah zinazoswaliwa kutokana na sababu maalum?

Jibu: Hapana, muda wake unaweza kuwa mpana na hivyo ikaswaliwa wakati mwingine. Huenda vilevile kusiwe na dharurah. Lakini ikiwa kuna dharurah, basi inakuwa miongoni mwa swalah zenye sababu maalum, ikiwa hakuna namna ya kuichelewesha.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25309/هل-الاستخارة-من-ذوات-الاسباب-فتصلى-وقت-النهي
  • Imechapishwa: 27/02/2025