Ni nani anachukua nafasi ya baba wakati anapokuwa hayupo nyumbani?

Swali: Je, inajuzu kwa mtoto mkubwa kukataza kwa kutumia mkono wakati baba yake anakuwa hayupo?

Jibu: Ndio. Baba yake akimuwakilisha nyumbani anapokuwa hayupo yeye ndio anachukua nafasi yake kwa kukataza kwa mkono kwa kuwa amemuwakilisha. Ikiwa hakumuwakilisha akataze kwa kutumia mdomo [kwa kusema] na si kwa mkono.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf%204-13-08-1433.mp3
  • Imechapishwa: 16/06/2015