Swali: Baba fakiri ana watoto wengi ambao ni matajiri. Je, watoto wote wanatakiwa kumhudumia kwa pamoja au yule mtoto mkubwa pekee ndiye anatakiwa kumhudumia?

Jibu: Wote wanatakiwa kumhudumia kwa pamoja. Kila mmoja kwa kiasi cha uwezo wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 05/10/2023