Kukodi ukumbi kwa ajili ya walima

Swali: Je, ni israfu kukodi ukumbi kwa ajili ya karamu ya ndoa?

Jibu: Ndio, ikiwa inahusiana na kutoa viwango vikubwa vya pesa. Hata hivyo haina neno ikiwa ni kiwango kinachoridhisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 05/10/2023