Swali: Baadhi ya wanafunzi wanajengea hoja Hadiyth ya Saalim (´alayhis-Salaam) juu ya kumnyonyesha mtu mkubwa na kwamba kunatakasa. Vipi linajibiwa hilo?
Jibu: Hilo ni maalum kwa Saalim, ndivo walivosema wanazuoni wengi. Hakuna wanaosema kuwa kumnyonyesha mtu mkubwa kunatakasa isipokuwa wanazuoni wachache.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
- Imechapishwa: 21/08/2023