Swali: Kuhusu du´aa baada ya adhaana inakuwa mara tu baada ya adhaana au baada ya swalah ya Sunnah – kwa maana du´aa baina ya adhaana na Iqaamah?
Jibu: Ni baada ya adhaana na baada ya swalah ya Raatibah, kwa sababu mtu anaweza kuwa anakuja njiani au akakaa baada ya kuswali swalah ya mamkuzi kabla ya adhaana. Lengo ni kuomba du´aa baina ya adhaana na Iqaamah, ni mamoja iwe ndani ya swalah ya mamkuzi, ndani ya swalah nyingine iliyosuniwa kabla ya adhaana au katika hali ya kukaa.
Swali: Maneno yake “hazirudishwi nyuma” au “mara chache hukataliwa” ni kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?
Jibu: Ndio.
Swali: Hadiyth ya Anas:
“Du´aa hairudishwi nyuma baina ya adhaana na Iqaamah.”
imedhoodishwa na wahakiki?
Jibu: Ina njia nyingi. Kwa hiyo ni Hadiyth nzuri.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31232/متى-يكون-الدعاء-بين-الاذان-والاقامة
- Imechapishwa: 17/10/2025
Swali: Kuhusu du´aa baada ya adhaana inakuwa mara tu baada ya adhaana au baada ya swalah ya Sunnah – kwa maana du´aa baina ya adhaana na Iqaamah?
Jibu: Ni baada ya adhaana na baada ya swalah ya Raatibah, kwa sababu mtu anaweza kuwa anakuja njiani au akakaa baada ya kuswali swalah ya mamkuzi kabla ya adhaana. Lengo ni kuomba du´aa baina ya adhaana na Iqaamah, ni mamoja iwe ndani ya swalah ya mamkuzi, ndani ya swalah nyingine iliyosuniwa kabla ya adhaana au katika hali ya kukaa.
Swali: Maneno yake “hazirudishwi nyuma” au “mara chache hukataliwa” ni kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?
Jibu: Ndio.
Swali: Hadiyth ya Anas:
“Du´aa hairudishwi nyuma baina ya adhaana na Iqaamah.”
imedhoodishwa na wahakiki?
Jibu: Ina njia nyingi. Kwa hiyo ni Hadiyth nzuri.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31232/متى-يكون-الدعاء-بين-الاذان-والاقامة
Imechapishwa: 17/10/2025
https://firqatunnajia.com/ni-lini-huombwa-duaa-baina-ya-adhaana-na-iqaamah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket