Swali: Mimi nina ndugu ambaye haswali na pindi tunapomzungumzisha juu ya hilo na kumpa nasaha anaanza kuitukana dini. Tufanye nini na mtu kama huyu?
Jibu: Msimamo wenu wa wajibu kwa mtu kama huyu ni kumnasihi. Mtapokata tamaa nae ni wajibu kwenu kulipeleka jambo lake katika idara husika. Katika hali hii itakuwa ni wajibu juu ya idara hiyo husika wamwite katika swalah. Akiswali ni vizuri, asiposwali ni wajibu kumuua hali ya kuwa ni kafiri na atadumishwa Motoni milele. Ambaye haswali ni kafiri na ni mwenye kutoka katika Uislamu. Maadamu hii ndio hali yake ni wajibu kwenu kulifikisha jambo lake kwenye idara husika ili wamlazimishe desturi za Kiislamu. Akishikamana nazo ni sawa, asipofanya hivo ni lazima auawe.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (07)
- Imechapishwa: 01/05/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)