Swali: Baadhi ya watengeneza picha wanachukua picha mwili wa mtu lakini wanaharibu uso.

Jibu: Hapana, ni lazima akate kichwa. Anapaswa kukiondosha kichwa chote.

Swali: Lakini mazingatio sio yeye kuchora…

Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliamrisha kukata kichwa.

Swali: Hata kama ni mtoto?

Jibu: Hata watoto. Haifai kuwavisha nguo zilizo na picha.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22698/حكم-تصوير-جسم-انسان-مع-طمس-الوجه
  • Imechapishwa: 30/07/2023