Swali: Mwanachuoni akimsimamishia hoja mpinzani kwa kumkufurisha, kumfanyia Tabdiy´ au Tafsiyq – je, italazimika kwa mtu kufuata fatwa ya mwanachuoni huyu au ni lazima kwake mwenyewe pia kusimamisha hoja?

Jibu: Hapana, sio sharti. Jambo la lazima ni yeye akinaike kwamba haki imesimamishwa juu ya mtu huyu ambaye mtu anataka kumkufurisha, kumfanyia Tafsiyq au Tabdiy´. Vinginevyo suala hili linakuwa endelevu lisilokuwa na mwisho.

  • Mhusika: Imâm Muhammad Nâsir-ud-Dîn al-Albânî
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (778)
  • Imechapishwa: 17/01/2021