Swali: Kipindi cha mwisho wamezuka vijana chipukizi wanaowakufurisha viongozi, wanazuoni wakubwa na wale wenye kuonelea kinyume na wao. Vipi kutangamana na wao?
Jibu: Haya ni madhehebu ya Khawaarij. Ambaye anafanya hivo ana hukumu moja kama Khawaarij. Wanasihini juu ya kitu hicho. Dogo liwezalo kusemwa ni kwamba ni umbea na usengenyi. Hili ndilo dogo liwezalo kusemwa. Kuwasengenya wanazuoni na watu wema ni kubaya zaidi kuliko wengine. Haijuzu kufanya hivi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
- Imechapishwa: 13/03/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)