Swali: Mimi nafanya kazi kama msimamizi wa kikundi cha wafanyikazi. Inatokea wakati mwingine wananipa vinywaji. Je, inafaa kwangu kuvipokea?
Jibu: Ikiwa wewe ndiye msimamizi na bosi wao, usikubali chochote kutoka kwao. Ni hongo. Wanakupa ili uwachukulie wepesi, uwasaidie na mfano wa hayo. Lakini ikiwa si wewe ndiye msimamizi wao, haina neno.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
- Imechapishwa: 13/03/2022
Swali: Mimi nafanya kazi kama msimamizi wa kikundi cha wafanyikazi. Inatokea wakati mwingine wananipa vinywaji. Je, inafaa kwangu kuvipokea?
Jibu: Ikiwa wewe ndiye msimamizi na bosi wao, usikubali chochote kutoka kwao. Ni hongo. Wanakupa ili uwachukulie wepesi, uwasaidie na mfano wa hayo. Lakini ikiwa si wewe ndiye msimamizi wao, haina neno.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
Imechapishwa: 13/03/2022
https://firqatunnajia.com/wafanyikazi-wanampa-msimamizi-kinywaji/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)