Ni ipi hukumu ya kuweka machela ya mwanamke chuma kwa lengo la kuficha maumbo yake?

Swali: Ni ipi hukumu ya kuweka machela ya mwanamke chuma kwa lengo la kuficha maumbo yake?

Jibu: Hapana neno. Kufanya hivo kunamfunika vyema zaidi.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/168)
  • Imechapishwa: 24/05/2022