Ni ipi hukumu ya kupeleka misahafu makaburini?

Swali: Katika baadhi ya makaburi kuna misahafu kwa yule anayetaka kumsomea maiti. Unasemaje juu ya hilo?

Jibu: Naonelea kuwa kitendo hichi ni Bid´ah na kwamba ni wajibu misahafu hii itolewe makaburini na ipelekwe misikitini ili waislamu waweze kunufaika nayo na waisome.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/229)
  • Imechapishwa: 02/09/2021