Ni ipi hukumu ya kukariri du´aa ya kuomba kinga katika Rak´ah ya pili?

Swali: Ni ipi hukumu ya kukariri du´aa ya kuomba kinga katika Rak´ah ya pili?

Jibu: Sio lazima. Kwa sababu swalah ni kitu kimoja. Lakini mtu akikariri hakuna ubaya.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 102
  • Imechapishwa: 15/07/2018