Je, kusoma Basmalah katika swalah ni nguzo?

Swali: Je, kusoma basmalah katika al-Faatihah ni nguzo ya al-Faatihah?

Jibu: Kusoma basmalah ni Sunnah na haiingii katika al-Faatihah wala katika Suurah zengine zote. Isipokuwa ni sehemu ya Aayah katika Suurah ”an-Naml”.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 18
  • Imechapishwa: 15/07/2018