Swali: Ni ipi hukumu ya kukariri du´aa ya kuomba kinga katika Rak´ah ya pili?
Jibu: Sio lazima. Kwa sababu swalah ni kitu kimoja. Lakini mtu akikariri hakuna ubaya.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 102
- Imechapishwa: 15/07/2018
Swali: Ni ipi hukumu ya kukariri du´aa ya kuomba kinga katika Rak´ah ya pili?
Jibu: Sio lazima. Kwa sababu swalah ni kitu kimoja. Lakini mtu akikariri hakuna ubaya.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 102
Imechapishwa: 15/07/2018
https://firqatunnajia.com/ni-ipi-hukumu-ya-kukariri-duaa-ya-kuomba-kinga-katika-rakah-ya-pili/