Ni ipi hukumu ya kuanza jina la Allaah wakati wa kutawadha chooni?

Swali: Inajuzu kutamka Basmalah chooni wakati wa kutawadha?

Jibu: Ikiwa ni mahali pa kukidhia haja, hapana. Ama ikiwa sio mahali pa kukidhia haja, bali ni mahali pa kutawadhia tu, ni sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020