Swali: Ni ipi hukumu ya adhaana ya kwa sauti ya kuremba sana?
Jibu: Adhaana ya kwa sauti ya kuremba sana inachukiza. Ikiwa urembaji sauti huu unabadilisha maana basi adhaana haisihi. Kwa mfano muadhini akasema:
الله أكبار
Haisihi kwa sababu inabadilisha maana. Neno (أكبار) maana yake ni ngoma. Hata hivyo ikiwa urembaji sauti sana haubadilsihi maana adhaana inasihi licha ya kwamba inachukiza.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/188-189)
- Imechapishwa: 12/06/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya adhaana ya kwa sauti ya kuremba sana?
Jibu: Adhaana ya kwa sauti ya kuremba sana inachukiza. Ikiwa urembaji sauti huu unabadilisha maana basi adhaana haisihi. Kwa mfano muadhini akasema:
الله أكبار
Haisihi kwa sababu inabadilisha maana. Neno (أكبار) maana yake ni ngoma. Hata hivyo ikiwa urembaji sauti sana haubadilsihi maana adhaana inasihi licha ya kwamba inachukiza.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/188-189)
Imechapishwa: 12/06/2026
https://firqatunnajia.com/ni-ipi-hukumu-ya-adhaana-ya-kwa-sauti-ya-kuremba-sana/