Swali: Ni ipi hukumu ya kununua vichezo vya watoto kwa umbo la vinyago vya ubani?

Jibu: Kutumia picha nzima ni limekatazwa kwa upande wa Shari´ah. Kuhusu vichezo, bora ni kuviumbua ikiwa mtoto anacheza navyo. Hata hivyo bora ni kutovinunua ili kutowatia nguvu wenye kuvitengeneza.

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/354)
  • Imechapishwa: 12/06/2026