Swali: Ngamia huchinjwa au kuchomwa?

Jibu: Anachinjwa kama ng´ombe. Kama tulivyotangulia kusema kwamba inasihi akichomwa. Yote yanafaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24019/هل-تذبح-الخيل-ام-تنحر
  • Imechapishwa: 17/08/2024