Neno “Jumu´ah Mubaarakah” kwa mujibu wa al-Fawzaan

Swali: Ni ipi hukumu ya kusema “Jumu´ah Mubaarakah”?

Jibu: Halina asli. Haijuzu kuzua kitu kisichokuwa na dalili wala msingi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-02.mp3
  • Imechapishwa: 07/06/2020