Neema Aakhirah ni kwa mujibu wa matendo

Swali 677: Je, kukutana na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kukaa naye pamoja katika Pepo ni kwa mujibu wa matendo mema?

Jibu: Ndio, kila neema huko Aakhirah ni kwa mujibu wa matendo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 243
  • Imechapishwa: 28/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´