Swali 675: Vipi iwapo mtu wakati usiyokuwa wa balaa na mtihani atasema:
اللَّهُمَّ أَحْيِنِي مَا كَانَتْ الْحَيَاةُ خَيْرًا لِي، وَتَوَفَّنِي إِذَا كَانَتْ الْوَفَاةُ خَيْرًا لِي
“Ee Allaah! Nibakize kuwa hai ikiwa uhai ni kheri kwangu na nifishe ikiwa kufa ni kheri kwangu.”[1]?
Jibu: Yote ni mazuri. Hapana vibaya.
[1] al-Bukhaariy (6351) na Muslim (2680).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 243
- Imechapishwa: 27/06/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 675: Vipi iwapo mtu wakati usiyokuwa wa balaa na mtihani atasema:
اللَّهُمَّ أَحْيِنِي مَا كَانَتْ الْحَيَاةُ خَيْرًا لِي، وَتَوَفَّنِي إِذَا كَانَتْ الْوَفَاةُ خَيْرًا لِي
“Ee Allaah! Nibakize kuwa hai ikiwa uhai ni kheri kwangu na nifishe ikiwa kufa ni kheri kwangu.”[1]?
Jibu: Yote ni mazuri. Hapana vibaya.
[1] al-Bukhaariy (6351) na Muslim (2680).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 243
Imechapishwa: 27/06/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/anasoma-duaa-hii-wakati-usiyokuwa-wa-mtihani/