Swali: Kuna wengi wanakataa kuoa ndugu kwa kutumia hoja ya kwamba jambo hilo linaweza kuleta maradhi. Ni upi usahihi wa madai haya?
Jibu: Hili halijuzu. Haya yanatoka umagharibini na sio katika Shari´ah. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alioa katika ndugu zake na akamuozesha msichana wake Faatwimah kwa ´Aliy bin Abiy Twaalib. Maswahabah walioa ndugu zao na wala Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuwakataza hilo. Hii ni fikra ya kimagharibi. Lililo la dhahiri ni kwamba wanakusudia kwa hilo kupunguza kizazi kwa waislamu. Wanasema “Zaeni watoto kadhaa tu”, “Zaeni uzazi wa mpango”, “Jiepusheni kuoa ndugu”, yote haya ni kampeni za kutooa.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mhdr-09-11-1432.mp3
- Imechapishwa: 24/09/2020
Swali: Kuna wengi wanakataa kuoa ndugu kwa kutumia hoja ya kwamba jambo hilo linaweza kuleta maradhi. Ni upi usahihi wa madai haya?
Jibu: Hili halijuzu. Haya yanatoka umagharibini na sio katika Shari´ah. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alioa katika ndugu zake na akamuozesha msichana wake Faatwimah kwa ´Aliy bin Abiy Twaalib. Maswahabah walioa ndugu zao na wala Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuwakataza hilo. Hii ni fikra ya kimagharibi. Lililo la dhahiri ni kwamba wanakusudia kwa hilo kupunguza kizazi kwa waislamu. Wanasema “Zaeni watoto kadhaa tu”, “Zaeni uzazi wa mpango”, “Jiepusheni kuoa ndugu”, yote haya ni kampeni za kutooa.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mhdr-09-11-1432.mp3
Imechapishwa: 24/09/2020
https://firqatunnajia.com/ndugu-kuoana-kuna-maradhi-kampeni-za-makafiri/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)