Swali: Ni ipi hukumu wakati madaktari wanapothibitisha kuwa swawm inazidisha baadhi ya maradhi, kama vile maradhi ya kifua, kuchelewesha uponaji au mgonjwa akakatazwa kufunga kutokana na sababu hiyo?
Jibu: Katika hali hiyo inafaa kula muda wa kuwa madaktari ni waaminifu na sio wenye kutuhumiwa na maamuzi yao yametokana na elimu na uzoefu. Baadhi ya wanazuoni wanaona kuwa ni sharti vilevile daktari awe muislamu na wengine hawashurutishi hilo.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aalush-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (04/181)
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)