Swali: Mwanamke huyu anasema kuwa ameolewa na mwanaume ambaye anamdhulumu kwa kutumia mkono wake na ulimi wake. Ni ipi nasaha yako na afanye nini?
Jibu: Nasaha yangu awe na subira huenda Allaah akamwongoza na akamuondoshea madhara kwake. Jambo la pili ikiwa hawezi kuwa na subira aombe kutengana mahakamani kwa Qaadhiy. Qaadhiy ataangalia hilo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13817
- Imechapishwa: 20/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)