Swali: Wapo baadhi ya watu ambao wamepewa mtihani wa kutazama klipu za ngono kwenye simu zao. Ni zipi nasaha zako juu ya jambo hili?
Jibu: Nasaha zangu wamche na wamukhofu Allaah (´Azza wa Jall). Wasitazame vitu hivi vyenye kudhuru na vyenye kutia aibu. Wasitazame vitu hivyo. Kwa kuwa vinawatia kwenye mtihani:
إِنَّ السَّمْعَ وَالْبَصَرَ وَالْفُؤَادَ كُلُّ أُولَـٰئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْئُولًا
“Kwani hakika masikio na macho na moyo vyote hivyo vitaulizwa.”[1]
[1] 17:36
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (107) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoulahfan-22-06-1441.mp3
- Imechapishwa: 13/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)