Nasaha kwa anayetazama video za ngono

Swali: Wapo baadhi ya watu ambao wamepewa mtihani wa kutazama klipu za ngono kwenye simu zao. Ni zipi nasaha zako juu ya jambo hili?

Jibu: Nasaha zangu wamche na wamukhofu Allaah (´Azza wa Jall). Wasitazame vitu hivi vyenye  kudhuru na vyenye kutia aibu. Wasitazame vitu hivyo. Kwa kuwa vinawatia kwenye mtihani:

إِنَّ السَّمْعَ وَالْبَصَرَ وَالْفُؤَادَ كُلُّ أُولَـٰئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْئُولًا

“Kwani hakika masikio na macho na moyo vyote hivyo vitaulizwa.”[1]

[1] 17:36

Check Also

Pato la haramu kwa shangazi mgonjwa na muhitajiaji

Swali: Nilipata mali kwa njia ya haramu. Je, inajuzu kumpa nazo shangazi yangu ambaye ni …