116 – Nilimuuliza Shaykh ni namna gani ya kupangusa juu ya soksi za ngozi?

Jibu: Mguu wa kulia hupanguswa kwa mkono wa kulia na wa kushoto hupanguswa kwa mkono wa kushoto juu ya ncha ya mguu. Mtu huanza na upande wa kulia.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 62
  • Imechapishwa: 18/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´