Swali: Ni vipi tunaweza kupambana na ueneaji wa Raafidhwah kwa njia ya amani?
Jibu: Bainisha Sunnah na I´tiqaad ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), Maswahabah zake na Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Kwa njia hii madhehebu mengine yote yanayoenda kinyume yatabainika.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
- Imechapishwa: 14/07/2018
Swali: Ni vipi tunaweza kupambana na ueneaji wa Raafidhwah kwa njia ya amani?
Jibu: Bainisha Sunnah na I´tiqaad ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), Maswahabah zake na Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Kwa njia hii madhehebu mengine yote yanayoenda kinyume yatabainika.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
Imechapishwa: 14/07/2018
https://firqatunnajia.com/namna-ya-kupambana-na-raafidhwah/