Namna ya kuitikia salamu ya kafiri

Swali: Mkristo, myahudi au mshirikina akinambia:

“as-Salam ´alaykum.”

Nimjibu ikiwa ni kwa maneno au kwa njia ya barua?

Jibu: Mjibie tu:

“wa ´alaykum.”

Usisemi:

“wa ´alaykumus-Salaam.”

Imepokelewa katika Hadiyth kwamba wakikusalimieni basi nyinyi itikieni kwa kusema:

“wa ´alaykum.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
  • Imechapishwa: 08/01/2021