Namna hii ndivo inavyoanza swalah ndani ya chombo cha usafiri

Swali: Je, ni wajibu msafiri anayeswali swalah ya kujitolea kuelekea Qiblah wakati anapoanza swalah yake?

Jibu: Baadhi ya wanazuoni wanaona kuwa ni wajibu. Hata hivyo maoni sahihi ni kwamba mtu aanze swalah hali ya kuwa ni mwenye kuelekea Qiblah kisha baadaye anaweza kuendelea kuswali kule kinapoelekea chombo chake cha usafiri.

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/411)
  • Imechapishwa: 01/05/2026