Namna hii ndio vitabaki vile ulivyohifadhi kichwani

Swali: Ni vipi mwanafunzi atahifadhi aliyoyahifadhi, aliyosoma au aliyosikia na asiyasahau?

Jibu: Atayahifadhi kwa kuyarudilia na kuyakariri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14819
  • Imechapishwa: 28/06/2020