Nahisi nimepatwa na kijicho – nifanye nini?

Swali: Ninahisi kuwa na dhiki kubwa kifuani mwangu. Nachelea isije kuwa kijicho kimenipata. Nifanye nini?

Jibu: Ni wajibu kwako kumuomba Allaah ulinzi na kurudi Kwake kwa kumuombea du´aa, malinzi ya Kishari´ah na kumuomba Allaah afya. Jaribu kupuuzia wasiwasi ulionao. Kwa sababu inawezekana ikawa ni wasiwasi tu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (04) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/431/431.mp3
  • Imechapishwa: 09/07/2018