Malaika ndiye wanamuitikia asiyeitikiwa salamu?

Swali: Je, imethibiti kwamba Malaika wanaitikia salamu ya yule aliyetoa salamu lakini akawa hakuitikiwa?

Jibu: Sijawahi kusikia hilo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (04) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/431/431.mp3
  • Imechapishwa: 09/07/2018